RAY C: WAKATI NAUMWA SIKUWAHI KUPIGIWA SIMU NA MSANII MWENZANGU HATA MMOJA

pamojapure.blogspot.com

Rehema Chalamila aka Ray C jana alifunguka kupitia kipindi cha Mkasi jinsi ambavyo wasanii wenzake walimtenga wakati alipokuwa amelazwa hospitali kupatiwa matibabu ya ‘uraibu’ (addiction) wa madawa ya kulevya.Ray C alisema japokuwa mama yake alitoa kwa umma mawasiliano yake na maelekezo ya namna ya kumsaidia, simu hiyo iliyokuwa busy saa 24, ilikuwa ikipokea simu na ujumbe kutoka kwa mashabiki wake pekee na sio msanii yeyote anayemfahamu.Muimbaji huyo aliyewahi kutamba na vibao

master kuku|1 month ago