MBUNGE WA CHAMBANI AFARIKI DUNIA

francisgodwin.blogspot.com

Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Zanzibar kupitia tiketi ya CUF Salim Hemed Khamis aliyeanguka jana alipohudhuria katika vikao vya kamati za bunge jijini Dar es salaam na kupelekwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa matibabu zaidi. Kwa mujibu wa taarifa zilizofikia mtandao huu zimeeleza mbunge huyo amefariki dunia.

Keny2|1 month ago