Mafikizolo wasema ruksa kurudia wimbo wao Khona kwa lugha yako, ni wimbo wa Afrika

www.babamzazi.com

Walisema wao wanaona poa kwa kuwa watu wanaukubali wimbo huo na wamekuwa wakipokea simu nyingi kutoka kwa watu wakiomba kuurudia, na kwamba wimbo huo umekuwa sio tu wa Afrika kusini bali ni wimbo waAfrika.“People do appreciate that song for them and do their own interpretation or do the remix, because there are a lot of people calling like 'can we do the remix and get the vocal' you know..that is the beautiful song, it’s not only in South Africa but in the whole continent, we reached Nigeria,

master kuku|1 month ago